Ad image

LIVE: Waziri Mkuu anahutubia wananchi wa Butiama.

Waziri mkuu, Kassim Majaliwa anahutubia wananchi wa Wilaya ya Butiama. Katika ziara yake Wilayani Butiama Mh. Waziri Mkuu ameongozana na Mbunge wa Jimbo la Butiama Jumanne Sagini, Mkuu wa mkoa wa Mara, Naibu Waziri wa Madini na Waziri wa Maji Mh. Juma Awezo. Baada ya kuhutubia na kusalimiana na wananchi wa Butiama, Waziri Mkuu ataelekea Serengeti na baadaye wilaya ya

Togoro Media Togoro Media

Gift Moureen ashinda Miss Kinondoni 2024.

Gift Moureen ameshinda taji la Miss Kinondoni 2024. Gift ameibuka mshindi kati ya warembo 13 walioingia Fainali zilizofanyika jana usiku Masaki jijini Dar Es Salaam.

Togoro Media Togoro Media

Ally Hapi achaguliwa kuwa Katibu Mkuu Umoja wa wazazi Tanzania.

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imemteua Ndugu Ally Salum Hapi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania, akichukua nafasi ya Ndugu Gilbert Kalima ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkinga jijini Tanga.

Togoro Media Togoro Media

Kariakoo Derby Ligi Kuu ya Wanawake kupigwa leo.

Mchezo wa Ligi Kuu ya wanawake baina ya Simba Queens na Yanga Princess utachezwa leo Saa 10:00 jioni ndani ya Dimba la Azam Complex. Katika mechi ya mzunguko wa kwanza

Mkuu wa mkoa wa Mara ampa RAS mwezi mmoja kumaliza kero katika Taasisi zote.

Mkuu wa mkoa wa Mara amemuagiza RAS wa mkoa huo muda wa

Togoro Media Togoro Media

Askari Mgambo auawa Kilimanjaro, Watu wanane wanashikiliwa na Polisi.

Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watu wanane kwa mahojiano kuhusiana

Togoro Media Togoro Media

TFF yamfuta kazi Kocha mkuu timu ya Taifa.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania limemfuta kazi Kocha Mkuu Abdel Amruche

Togoro Media Togoro Media

Waliofariki ajali ya Lujiga Express Singida wafika 9.

Idadi ya watu waliofariki dunia katika ajali ya basi la Lujiga Express

Togoro Media Togoro Media

Lulu Diva atimiza umri wa miaka 29.

Msanii wa Bongo Fleva Luludiva leo Machi 23 anatimiza miaka 29 tangu

Togoro Media Togoro Media

Mtandao wa Tigo kudhibiti ubadhilifu fedha za Wakulima Nchini.

Tume ya Maendeleo ya ushirika Tanzania imeingia makubaliano na mtandao wa simu

Togoro Media Togoro Media

Mjue Hayati Edward Ngoyai Lowassa.

Hayati Edward Ngoyai Lowassa alizaliwa mkoani Arusha tarehe 26/08/1953. Alikuwa waziri mkuu

Togoro Media Togoro Media

TETESI: Fiston Mayele kutua Azam FC kuziba nafasi ya Dube.

Klabu ya Azam FC imempa ofa ya mshahara wa dola 15,000 (zaidi

Togoro Media Togoro Media

Fashionable Summer Accessories to Dress Up Your Travel Look

The summer is a fun and energetic time of year, and a favorite time to travel. It’s also the perfect time to wear your boldest and brightest clothes, try new trends, and take risks.

Togoro Media Togoro Media