Mgodi uliovumbuliwa na Mkaazi wa Kitongoji cha Butasya Kata ya Butiama Wilaya ya Butiama ambapo watu kutoka sehemu mbalimbali waliweka kambi ili kujitafutia riziki zao
![](https://www.togoromedia.co.tz/wp-content/uploads/2024/01/DSC_0161-1024x576.jpg)
Baada ya siku takribani tatu viongozi wa serikali walifika na kuzuia shughuli za uchimbaji kwa kile kilichodaiwa kuwa eneo hilo lipo karibu na Shule hivyo wataathiri shughuli za ufundishaji na ujifunzaji shuleni hapo na kuamuru shughuli za uchimbaji zisitishwe mara moja.