Mwaka 2004 mtandao maarufu wa kijamii wa Facebook ulizinduliwa.
Tangu wakati huo, mtandao maarufu zaidi wa kijamii ulimwenguni umekarabatiwa mara kadhaa.
Lakini lengo lake limebaki sawa: kuunganisha watu mtandaoni na kutengeneza mabilioni na mabilioni ya pesa kutokana na matangazo ya kibiashara.