Mshindi wa shindano la urembo la Miss Japan mzaliwa wa Ukraine amejivua taji lake baada ya ripoti ya gazeti la udaku kufichua uhusiano wake na mwanamume aliye katika ndoa.
Karolina Shiino, 26, alitawazwa kuwa mshindi wa taji la Miss Japan wiki mbili zilizopita.