Michezo ya hatua ya robo fainali ya kombe la Klabu Bingwa barani Afrika inatarajiwa kuchezwa kati ya tarehe 30 na 31 Mwezi huu huku wawakilishi watatu wa Ukanda wa Afrika Mashariki wote wakianzia michezo Yao nyumbani.
Simba watakutana na mabingwa wa kihistoria wa michuano hiyo Al Ahly ya Misri huku mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Yanga wakikutana na mabingwa wa Afrika Kusini Mamelodi Sundown.
TP mazembe ya Congo watapambana dhidi ya Petro Luanda ya Angola na ASEC Mimosa ya Ivory Coast watapambana na Michezo ya hatua ya robo fainali ya kombe la klabu bingwa barani Afrika inayotarajiwa kuchezwa kati ya tarehe 30 na 31 Mwezi huu huku wawakilishi watatu wa Ukanda wa Afrika Mashariki wote wakianzia michezo Yao nyumbani.
Simba watakutana na mabingwa wa kihistoria wa michuano hiyo Al Ahly ya Misri huku mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Yanga wakikutana na mabingwa wa Afrika Kusini Mamelodi Sundown.
TP mazembe ya Congo watapambana dhidi ya Petro Luanda ya Angola na ASEC Mimosa ya Ivory Coast watapambana na Espsrense de Tunisi Hii ni mara ya kwanza Kwa nchi ya Tanzania na Ukanda wa Afrika Mashariki kuingiza timu tatu kwenye michuano hiyo yenye hadhi ya juu zaidi Afrika.
Hii ni mara ya kwanza Kwa nchi ya Tanzania na Ukanda wa Afrika Mashariki kuingiza timu tatu kwenye michuano hiyo yenye hadhi ya juu zaidi Afrika.