Rais wa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Ally Senga Gugu kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kabla ya uteuzi huu Bw. Ally Gugu alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma.

Sign in to your account