Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema kuwa katika kipindi cha miaka 3 ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan, jumla ya minada ya kisasa 51 imejengwa nchi nzima yenye thamani ya Shilingi Bilioni 17.5.