Ikiwa leo ndo siku ya uzinduzi wa project mpya ya Msanii Juma Jux (Bado), Jux ameshea nasi experience alopitia kwenye mapenzi kwa kuandika “Kuna namna mapenzi yanakupitisha kwenye experience flani hivi, hadi ukasema hiki nini? Ila usiruhusu yakubadili tabia, kosa la aliyepita isiwe sababu ya kumtesa anayekuja. I still believe in love”
Mapenzi yaliwahi kukubadilisha tabia gani?