Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Dkt.Philip Mpango ametangaza kuacha kazi endapo mradi wa maji wa Same – Mwanga -Korogwe hautakamilika ifikapo mwezi Juni mwaka huu, kutokana na mradi huo kusuasua kwa zaidi ya miaka 19 huku wananchi wakitaabika na adha ya ukosefu wa maji safi na salama.