Baada ya kuonekana kwenye kambi ya Simba SC nchini misri na kufanyiwa mahojiano na Afisa Habari wa klabu hiyo, Ahmed Ally, Mshambuliaji wa Klabu ya pyramids ya nchini misri, Fiston Mayele leo amefuta picha na video zote kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuacha zile post ambazo alikuwa tagged na Caf.