Mchezo wa Ligi Kuu ya wanawake baina ya Simba Queens na Yanga Princess utachezwa leo Saa 10:00 jioni ndani ya Dimba la Azam Complex.
Katika mechi ya mzunguko wa kwanza Simba Queens waliibuka na ushindi
Je, ni Simba Queens tena ama Yanga Princess kulipa kisasi?