Pichani ni ndugu Bibiana Joseph Kileo Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka, Ndugu Alice Edward Mtulo Naibu Wakili Mkuu wa Serikali na Ndugu Winfrida Beatrice Korosso Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania wakiapa Kiapo cha Maadili ya Viongozi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 28 Aprili, 2024.