Leo ni siku ya wafanyakazi Duniani na kwa mkoa wa Mara sherehe hizo zinafanyika wilayani Butiama katika viwanja vya mnada wa Kiabakari.
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoani Mara yameongozwa na Mgeni Rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Mara Mh. Kanali Alfred Mtambi.