Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye ni mlezi wa CCM Kanda ya Ziwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kufunga kilele cha maadhimisho ya Miaka 47 ya Chama cha Mapinduzi hii leo February 4, 2024.
Hayo yamebainishwa na Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa Kagera, Hamim Mahmoud wakati akiongea na Vyombo vya Habari kuhusu kilele cha maadhimisho hayo.