Leo Crown Media inayomilikiwa na msanii wa Bongo Flava, Ali kiba, imefanya utambulisho wa wafanyakazi wake wakiwemo waandishi wa habari na watangazaji.
Mmoja kati ya watu waliotambulishwa rasmi ni aliyewahi kuwa mtangazaji wa kipindi cha Planet Bongo kilichokuwa kinaruka kupitia East africa Radio na EATV, Dullah Planet.
Endelea kutufuatilia kwa habari zaidi.