Ujenzi wa jengo refu zaidi duniani huko nchini Saudi Arabia utakamilika hivi karibuni.
Baada ya kukamilika, jengo hili litavunja rekodi ya majengo mengine marefu zaidi duniani kwa tofauti kubwa.
“Jeddah Tower” ni jengo lenye urefu wa ajabu wa mita elfu moja katika bandari ya Jeddah nchini Saudi Arabia ni takriban mita 200 juu kuliko majengo marefu zaidi ya kisasa duniani.