Wakuu wa mataifa 6 Afrika kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Katika kuadhimisha miaka 60 ya muungano wa Tanganyia na Zanzibar, wakuu wa mataifa 6 Afrika wantarajiwa kuhudhuria sherehe hizo zinazotarajiwa kufanyika kitaifa Jijini Dar Es Salaam katika uwanja wa uhuru…
Kariakoo Derby Ligi Kuu ya Wanawake kupigwa leo.
Mchezo wa Ligi Kuu ya wanawake baina ya Simba Queens na Yanga Princess utachezwa leo Saa 10:00 jioni ndani ya Dimba la Azam Complex. Katika mechi ya mzunguko wa kwanza…
Bahari Mpya kuzaliwa Barani Afrika.
Bahari mpya inaibuka barani Afrika, kulingana na utafiti mpya, ni mchakato ambao ulidhaniwa ungechukua kati ya miaka milioni 5 na 10, lakini utafiti mpya wa kisayansi unaonesha kuibuka huko kunaweza…
SUA na Serikali ya Norway kushirikiana kukuza sekta ya Kilimo.
Ubalozi wa Norway Nchini, umesema utaendelea kushirikiana na Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine cha Morogoro – SUA, katika kufadhili na kutekeleza Miradi mbalimbali ya Kilimo, Ufugaji na mabadiliko ya Tabia…
Crown Media yamrudisha Dullah Planet kwenye Mic.
Leo Crown Media inayomilikiwa na msanii wa Bongo Flava, Ali kiba, imefanya utambulisho wa wafanyakazi wake wakiwemo waandishi wa habari na watangazaji. Mmoja kati ya watu waliotambulishwa rasmi ni aliyewahi…
Rainford Kalaba hajafa, yuko ICU, Madaktari wathibitisha.
Taarifa iliyosambaa awali kuwa Mchezaji Rainford Kalaba amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari imekanushwa na madaktari wa hospitali moja huko Lusaka nchini Zambia alikofikishwa mchezaji huyo kwa matibabu…
Mchezaji wa TP Mazembe na Timu ya Taifa ya Zambia afariki kwa ajali.
Mchezaji na kiungo fundi kutoka TP Mazembe na Timu ya Taifa ya Zambia, Chipolopolo, Rainford Kalaba amefariki dunia. Taarifa zilizotufikia ni kwamba mchezaji huyo amepata ajali mbaya ya gari alilokuwa…
Makonda awaombea Barabara watu wa Arusha kwa Mama Samia kwa mbwembwe.
Leo April 12 ni siku ya kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Hayati Edward Moringe Sokoine ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Daktari Samia Suluhu Hassan amefika…
Ajali ya gari la Wanafunzi Ghati Memorial waliothibitishwa kufariki wafika watano.
Vifo vya wanafunzi vilivyotokana na ajali ya gari la Shule ya Msingi Ghati Memorial ya mkoani Arusha vimefikia vitano baada ya miili mimgine minne ya wanafunzi kupatikana. Gari hilo lenye…
Gari la shule ya Msingi Ghati Memorial lapata ajali, mmoja afariki.
Mwanafunzi mmoja amepoteza maisha na saba hawajulikani walipo baada ya gari la shule ya Msingi Ghati Memorial, iliyopo Mkoani Arusha, kuanguka kwenye korongo linalopitisha maji. Ajali hiyo imetokea katika mitaa…