Mtandao wa YouTube waifungia Emmanuel TV.
Mtandao wa YouTube umesitisha rasmi chaneli ya kanisa kuu la mwinjilisti wa televisheni kutoka Nigeria TB Joshua kwa kukiuka sera zake za matamshi ya chuki. Hatua hiyo inajiri wiki kadhaa…
Waziri Mkuu Majaliwa amjulia hali Mama Halima Mdee.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemjulia hali Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa mbunge wa viti maalum Halima Mdee ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma Jana, Januari…
Mtandao wa Facebook watimiza miaka 20.
Mwaka 2004 mtandao maarufu wa kijamii wa Facebook ulizinduliwa. Tangu wakati huo, mtandao maarufu zaidi wa kijamii ulimwenguni umekarabatiwa mara kadhaa. Lakini lengo lake limebaki sawa: kuunganisha watu mtandaoni na…
Profesa aamua kujishughulisha na uchomeleaji vyuma.
Kabir Abu Bilal sio profesa wa kawaida wa chuo kikuu cha Nigeria anayo kazi nyingine ya kuchomelea vyuma kaskazini mwa jiji la Zaria. Uchomeleaji unaonekana sana kama kazi duni kote…
Saturday Brainstorming on Togoro Media.
Hii ni picha ya baadhi ya wanafamilia wa aliyewahi kuwa kiongozi mkubwa Tanzania,Afrika na hata Dunia Kwa ujumla. Je? Umemtambua nani kwenye hii picha?? Toa majibu yako kwenye comments.
Walimu mkoani Geita wanyang’anywa viti vya kukalia.
Walimu wa shule ya msingi Nyansalala iliyopo kata ya Bukondo Halmashauri ya wilaya ya Geita, wamelazimika kufanya kazi wakiwa wamekaa chini baada ya kamati ya shule na uongozi wa kijiji…
Bashungwa ataka Miundombinu ya Barabara kurekebishwa haraka.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Eng. Godfrey Kasekenya kufika katika maeneo yaliyoathiriwa na mvua mkoani Dar es Salaam na kuungana na Mtendaji Mkuu wa…
Dula Makabila arusha kijembe kwa Haji Manara.
Ikiwa ni masaa machache baada ya Haji Manara kumfanyia engagement mpenzi wake mpya Zaylissa, leo msanii Dula Makabila kwenye ukurasa wake wa Instagram ameandika kijembe ambacho wazi wazi kinaonekana kumhusu…
Rais Felix aapishwa kuiongoza DRC Muhula wa Pili.
Nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo,matokeo ya uchaguzi mkuu wa Desemba 20, 2023 yamekataliwa na viongozi wa upinzani. Watatu kati yao waliitisha maandamano leo, Moïse Katumbi, mgombea wa nafasi ya…
Habari katika magazeti ya leo January 20,2024.
Togoro Media inakusogezea vichwa vya habari katika magazeti ya leo January 20.