Minada ya Kisasa 51 yajengwa ndani ya miaka 3 ya Rais Samia.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema kuwa katika kipindi…
Ally Gugu ateuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani.
Rais wa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Ally Senga Gugu kuwa…
Stendi ya Magari na Soko la kisasa kujengwa Wilayani Butiama.
Mh. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Kassim amesema kuwa lengo la Serikali inayoongozwa…
LIVE: Waziri Mkuu anahutubia wananchi wa Butiama.
Waziri mkuu, Kassim Majaliwa anahutubia wananchi wa Wilaya ya Butiama. Katika ziara…
Ziara ya Waziri Mkuu wilaya ya Butiama mamia wajitokeza.
Leo ni ziara ya Mh. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wilaya ya Butiama…
Askari Mgambo auawa Kilimanjaro, Watu wanane wanashikiliwa na Polisi.
Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watu wanane kwa mahojiano kuhusiana…
Hali si shwari Congo DR. Mji wa Goma hofu yaongezeka.
Hali halisi ilivyo katika mji wa Goma baada ya kuzuka kwa ghasia…
Mjue Hayati Edward Ngoyai Lowassa.
Hayati Edward Ngoyai Lowassa alizaliwa mkoani Arusha tarehe 26/08/1953. Alikuwa waziri mkuu…
Taasisi zote za Umma kuingia kwenye mfumo wa Serikali Mtandao (e-GA).
Waziri wa nchi ofisi ya Rais menejiment ya utumishi wa umma na…
Paul MacKenzie ashtakiwa kwa makosa 191.
Paul MacKenzie mwenye kanisa maarufu nchini Kenya ambapo mamia ya watu wanaodaiwa…